Wednesday, 28 May 2014

KARIBU WADAU WA KILIMO!!

                                                            KARIBUNI WAKULIMA.


Ndugu zangu Tanzania, asilimia zaidi ya sabini ya wananchi ni wakulima.

Lakini shughuli hii imeachwa ikifanywa na wazee ambao wengi wamebaki vijijini.

KILIMO NI HARAKATI- Lengo lake ni kuamsha ARI ya Vijana ambayo ni nguvu kazi ya Taifa kukipenda kilimo. Katika Afrika ya mashariki Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana. Vijana ni tunu ya maendeleo. SHIME VIJANA TUKALIME!!

1 comment: