Friday 30 May 2014



       


                                             AMKENI VIJANA WA TANZANIA

Kamwe hatuwezi kuwaachia Wazee na Akinamama kufanya Kilimo Vijijini . Kilimo ni Swaga ya Vijana
Hizi ni harakati za kufanya kilimo kwa mbinu za kizazi kipya. Zaidi ukulima na  Ufugaji uwe kitu chenye kuvutia Vijana.